• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Fedha
      • Ujenzi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Hearth
      • Usafi na Mazingira
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Tecknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Nyuki na Maliasili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uwekezaji wa Viwanda
    • Fursa za kilimo
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Fursa za elimu
    • Fursa za Afya
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma ya utoaji wa Mikopo
    • Kukondisha Vyumba vya Biashara
    • Unyonyaji wa Maji Taka
    • Huduma za Biashara
      • Leseni za Biashara
      • Elimu ya kibiashara
      • Ukaguzi wa Viwanda
      • Usimamizi wa Masoko
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Miundombinu
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya kamati za Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iIliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Mafunzo

UANDIKISHWAJI WA WANAFUNZI DARASA LA AWALI NA LA KWANZA

06 January 2023

HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga kupitia Ofisi ya Mkurugenzi inawakumbusha Wazazi, Walezi na Wananchi wote kushiriki zoezi la kuwaandikisha watoto wenye umri wa miaka 5-6 kwa ajili ya Darasa la Awali na la Kwanza kwa mwaka wa masomo 2023.

Ofisi ya Mkurugenzi inatoa msisitizo wa zoezi hili kufanyika haraka kutokana na uhitaji wa watoto mashuleni sambamba na uandikishaji wa watoto wenye mahitaji maalumu, ili kuanza masomo mwezi huu wa Januari 2023.

Wazazi, Walezi na Wananchi wote kwa ujumla mnakumbushwa kuwa zoezi hili halijasimama, bali linaendelea.

Kwa yeyote atakayekaidi zoezi hili, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

"Elimu ni Haki kwa kila Mtoto, Mjali mwanao, mpatie elimu bora".

Tangazo

  • UANDIKISHWAJI WA WANAFUNZI DARASA LA AWALI NA LA KWANZA January 06, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA SENSA May 05, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA MPYA June 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI YA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA MADIWANI KATA YA MWAMALILI December 07, 2022
  • Tazama

Habari Mpya

  • MIAKA MIWILI YA MH DKT. SAMIA SHINYANGA YAKUSANYA BIL 255 ZA MADINI

    March 25, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    March 25, 2023
  • KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BARABARA INAYOJENGWA NA WALENGWA WA TASAF MANISPAA SHINYANGA

    March 16, 2023
  • RC MNDEME AZURU SHULE YA WASICHANA SHINYANGA, AAGIZA SPIDI YA UJENZI KUONGEZEKA

    March 16, 2023
  • Tazama

Video

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU SHINYANGA MC
Video Zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Ripoti mbalimbali
  • Sheria Ndogondogo za Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

Tovuti Nyingine tunazohusiana

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa(TAMISEM)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknologia
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Mkoa wa Shinyanga
  • Sekretarieti ya Ajira

wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Tanesco S, Mwanza Road

    Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga

    Simu: +255-28-2763213

    Simu ya Mkononi: 0767042958

    Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Ramani ya Tovuti
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga