• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Fedha
      • Ujenzi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Hearth
      • Usafi na Mazingira
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Tecknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Nyuki na Maliasili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uwekezaji wa Viwanda
    • Fursa za kilimo
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Fursa za elimu
    • Fursa za Afya
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma ya utoaji wa Mikopo
    • Kukondisha Vyumba vya Biashara
    • Unyonyaji wa Maji Taka
    • Huduma za Biashara
      • Leseni za Biashara
      • Elimu ya kibiashara
      • Ukaguzi wa Viwanda
      • Usimamizi wa Masoko
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Miundombinu
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya kamati za Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iIliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Mafunzo

MANISPAA SHINYANGA YAITISHA KIKAO NA WADAU WA SHEREHE NA BURUDANI KUJADILI MUSTAKBALI WA ADA NA USHURU

Posted on: January 27th, 2023

Na George Mganga, SHY MC

HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga kupitia Ofisi ya Mkurugenzi, leo Januari 27, 2023 imeitisha Kikao Maalum na Wadau wa Shughuli za Sherehe na Burudani, ili kujadili mabadiliko ya Sheria ndogo na Maelekezo ya namna ya Ulipaji wa Ada na Ushuru unaotokana na shughuli mbalimbali za Sherehe na Burudani.

Wadau mbalimbali wa Shughuli za Sherehe na Burudani pia Watendaji wa Kata waliojitokeza katika kikao.

Akimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni, Vijana na Michezo, Charles Luchagula, amesema lengo mahususi la kuitishwa kwa kikao hicho ni kuwashirikisha wadau kuhusu tozo zinazohusiana na shughuli za Burudani na Sherehe, kwa lengo la kustawisha maendeleo ya Manispaa ya Shinyanga.

“Tumeitisha kikao hiki tukiwa na lengo la kuwashirikisha kuhusiana na mabadiliko ya tozo za sherehe na burudani, lengo letu kubwa ni kustawisha maendeleo ya Manispaa yetu,” amesema Luchagula.

Akinukuu kifungu cha Sheria, Luchagula amesema kuwa “Kwa mujibu wa Sheria ya fedha za Serikali za Mitaa (sura 290), Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ilitunga Sheria ndogo chini ya kifungu cha 6(1) na 16(1) cha Sheria hiyo iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 na kutangazwa katika gazeti la Serikali Na. 982 la Tarehe 13/12/2019 kuhusiana na tozo za shughuli na burudani.

“Hivyo, kwa mujibu wa kifungu cha Sheria hiyo (tajwa hapo juu), kuna shughuli ambazo bado hatujaingiza kwenye tozo hizo”, aliongeza.

Mbali na Luchagula, kikao hicho kilihusisha pia Washereheshaji (MC’s), Wapiga Muziki, Wamiliki wa Kumbi, Wamiliki wa Vifaa vya Muziki, Wapambaji pia Watendaji wa Kata.

Tangazo

  • UANDIKISHWAJI WA WANAFUNZI DARASA LA AWALI NA LA KWANZA January 06, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA SENSA May 05, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA MPYA June 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI YA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA MADIWANI KATA YA MWAMALILI December 07, 2022
  • Tazama

Habari Mpya

  • MIAKA MIWILI YA MH DKT. SAMIA SHINYANGA YAKUSANYA BIL 255 ZA MADINI

    March 25, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    March 25, 2023
  • KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BARABARA INAYOJENGWA NA WALENGWA WA TASAF MANISPAA SHINYANGA

    March 16, 2023
  • RC MNDEME AZURU SHULE YA WASICHANA SHINYANGA, AAGIZA SPIDI YA UJENZI KUONGEZEKA

    March 16, 2023
  • Tazama

Video

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU SHINYANGA MC
Video Zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Ripoti mbalimbali
  • Sheria Ndogondogo za Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

Tovuti Nyingine tunazohusiana

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa(TAMISEM)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknologia
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Mkoa wa Shinyanga
  • Sekretarieti ya Ajira

wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Tanesco S, Mwanza Road

    Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga

    Simu: +255-28-2763213

    Simu ya Mkononi: 0767042958

    Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Ramani ya Tovuti
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga